Mbongo, Mganda, na Mkenya walikamatwa na makosa Uchina.
Wakaambiwa adhabu ni ama kifo cha moja kwa moja au adhabu nyingine ambayo atakayeifaulu atakuwa huru, atakayeshindwa atauawa.
Basi wao wakaomba wapewe hiyo adhabu nyingine wajaribu bahati yao.
Wakapelekwa msituni wakaambiwa kila mmoja aende kwa njia yake halafu arudi na matunda kumi ya kufanana.
Wakaingia msituni kila mtu njia yake.
β¦ Mganda akarudi wa kwanza na machungwa kumi. Akaambiwa adhabu yake ni kumeza moja moja likiwa zima bila kufumba macho bila kulia wala kucheka wala kujitikisa mpaka yote kumi yaishe. Akameza la kwanza. Safi. Kumeza la pili, akashindwa kuvumilia akafumba macho. Akapigiwa risasi akafa.
Mkenya akaja. Ana vitunda vidogo vidogo kama pili vilaini. Akasomewa masharti. Akaanza kumeza bila kufumba macho wala kulia, wala nini⦠alipofika cha tisa akashindwa kuvumilia akaangua kicheko! Akapigwa risasi pia akafa.
Wakiwa kuzimu Mganda akamwuliza Mkenya, βVipi, mbona ulishindwa kuvumilia wakati kilibaki kitunda kimoja tu?β
Mkenya akamjibu: βMkuu, nilishindwa kuzuia kicheko maana nilimwona Mbongo anakuja na matikiti maji!β
Mbongo, Mganda, na Mkenya walikamatwa na makosa Uchina. Wakaambiwa adhabu ni ama kifo cha moja kwa moja au adhabu nyingine ambayo atakayeifaulu atakuwa huru, atakayeshindwa atauawa. Basi wao wakaomba wapewe hiyo adhabu nyingine wajaribu bahati yao. Wakapelekwa msituni wakaambiwa kila mmoja aende kwa njia yake halafu arudi na matunda kumi ya kufanana. Wakaingia msituni kila mtu njia yake. β¦ Mganda akarudi wa kwanza na machungwa kumi. Akaambiwa adhabu yake ni kumeza moja moja likiwa zima bila kufumba macho bila kulia wala kucheka wala kujitikisa mpaka yote kumi yaishe. Akameza la kwanza. Safi. Kumeza la pili, akashindwa kuvumilia akafumba macho. Akapigiwa risasi akafa. Mkenya akaja. Ana vitunda vidogo vidogo kama pili vilaini. Akasomewa masharti. Akaanza kumeza bila kufumba macho wala kulia, wala niniβ¦ alipofika cha tisa akashindwa kuvumilia akaangua kicheko! Akapigwa risasi pia akafa. Wakiwa kuzimu Mganda akamwuliza Mkenya, βVipi, mbona ulishindwa kuvumilia wakati kilibaki kitunda kimoja tu?β Mkenya akamjibu: βMkuu, nilishindwa kuzuia kicheko maana nilimwona Mbongo anakuja na matikiti maji!β
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Misemo ya kina dadawalianza na halohalooo!Wakaja unalo babu weee!Ikafuata utajijuuu!Ikafupishwa utajiJJ!Mara ghafla kantangazeee!Haikukaa sana kansajiβ¦
Licha ya upole ulionao! Pia upendo wako ndio kishawishi cha kunifanya nikukumbuke siku zote. Jiulize! nina namba za watu wangapi ktk cmu yangu,na badoβ¦
sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidiyako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisiamoyoni mwangumpenzi nipende daima pendo laβ¦
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.2. Ukimpata geniusβ¦yuko serious masaa 24 na wengi hβ¦
Ekaristi ni nini?Ekaristi ni Sakramenti ya Mwili na Damu ya Yesu Kristo, katikamaumbo ya mkate na divai. Sakramenti hiiiliwekwa na Yesu Mwenyewe kwenyβ¦
Kila mtu anataka kuwa jua linalongβarisha maisha yako,lakini ni afadhali niwe mwezi, ili nikuangazie wakati wagiza ambapo jua limechwea na haliangazi β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate