Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:
SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwakoβ¦
Boss akabaki anashangaa⦠Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.
Akarudi mpaka kwa secretary na mazungumzo yakaendelea:
BOSS: Bibie ulivyoona geti wazi je uliona benz langu lime paki au�
SECRETARY: Hapana Boss niliona kitoroli kidogo kimepaki kina matairi mawili
Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi: SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako⦠Boss akabaki anashangaa⦠Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake. Akarudi mpaka kwa secretary na mazungumzo yakaendelea: BOSS: Bibie ulivyoona geti wazi je uliona benz langu lime paki au� SECRETARY: Hapana Boss niliona kitoroli kidogo kimepaki kina matairi mawili
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
CHEKA KIDOGOMajambaz waliliteka gar moja lililokua limeshehen abiriaBaada ya abiria kusachiwa na majambaz hao na kukutwa hawana pesa, majambaz wakasemβ¦
Ushawai kumpenda dem na kumfia mazima kiasi kwmb anakwambia ye ana msela lkn we huelewi..unamkazia!!Inabidi dem asisitize,"I HAVE ONLY ONE HEART,PLZ, β¦
Mama Bikira Maria alitoa ahadi 15 kwa yule au wale watakaosali Rozari takatifu kila siku. Ahadi hizi aliwapa Mtakatifu Dominic na mwenye heri Alan de β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate