Demu: Hny mambo jamani!
Man: Safi nipe habari wangu wa moyo
Demu:Wafanya kazi gani vile wangu?
Man: Ni fundi wa kufunga ATM
Demu: Wow dont tel me i love you myn mwa mwa mwaaaaah
Man: Mbona wafurahia?
Demu: Nami natamani kuja kufanya kazi za kibenki.
Man: Itakua poa sana nami natamani pia
Demu: Hee si umesema wafanya kazi ya kufunga ATM?
Man: Hukunielewa mie ninafunga mashine na za kunulia condom kwenye bar
Demu: nipishe huko
Demu: Hny mambo jamani! Man: Safi nipe habari wangu wa moyo Demu:Wafanya kazi gani vile wangu? Man: Ni fundi wa kufunga ATM Demu: Wow dont tel me i love you myn mwa mwa mwaaaaah Man: Mbona wafurahia? Demu: Nami natamani kuja kufanya kazi za kibenki. Man: Itakua poa sana nami natamani pia Demu: Hee si umesema wafanya kazi ya kufunga ATM? Man: Hukunielewa mie ninafunga mashine na za kunulia condom kwenye bar Demu: nipishe huko
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Dem anatoka kuoga akiwa na kanga moja tu anaskia hodi,kufungua mlango akakuta ni jirani yake frank ambaye ni kipofu, akamkaribisha ndani akakaa, dem kβ¦
Mambo hayo ni haya yafuatayo; 1. Hakikisha unaondoa matandazo yote ndani ya nyumba, 2. Ondoa vyombo vya kulishia na kunyweshea. 3. Ondoa uchafu wote uβ¦
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YAβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate