Angalia kilichotokea
Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!
Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia kioo akasema "wee kweli huna akili, si mimi huyu? halafu unajidai hunikumbuki β¦!!!
Angalia kilichotokea Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !! Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia kioo akasema "wee kweli huna akili, si mimi huyu? halafu unajidai hunikumbuki β¦!!!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Kuna mama mmoja ameolewa na wanapendana sana na mmeo. siku moja mme wake alisafiri kikazi (safari ya zaidi ya mwezi) nje ya mkoa. Siku mmeo anarudi, yβ¦
Zifuatazo ni njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke. Njia hizi zimegawanyika katika hatua mbili kuu, kwanza ni kumfanya akukubali na kishaβ¦
Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora. Umuhimu wa kutifua udongo ni kama ifuatavyo1. Hulainisha udongo ili kuruhusu mizβ¦
1. Huwezi kuosha Macho kwa Sabuni;2. Huwezi kuhesabu Nywele zako;3. Huwezi kupumua kwa Pua na huku umetoa Ulimi;4. Unajaribu kufanya namba 36. Umeona β¦
Vipimo - UgaliMaji - 4 vikombe kiasi inategemea na unga wenyewe.Unga wa sembe - 2 vikombeNamna Ya Kutayarisha Na KupikaTia maji kiasi katika sufuria, β¦
Barafu inaweza kuzipunguza chunusi zionekane ni ndogo na kupunguza madhara yatokanayo na chunusi.Namna ya kutumia barafu kutibu chunusi ni rahisi na hβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate