SALA YA MAPENDO

✍️ DIN - Melkisedeck Leon ShineπŸ“… 2016-01-17 08:20:00πŸ’¬ 83 comments⏱️ ~1 min read
πŸ“„ PDF

Mungu wangu,

nakupenda zaidi ya cho chote,

kwani ndiwe mwema,

ndiwe mwenye kupendeza.

Nampenda na jirani yangu kama nafsi yangu,

kwa ajili yako.

Amina

πŸ’¬

Discussion

Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.

83 comment(s)
πŸ” Login required to comment or reply

You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.

Log in to participate
J
Jane Muthui2015-06-21 11:40:42
πŸ™β€οΈπŸ’– Tumshukuru Mungu kwa yote
J
Jane Muthui2015-06-17 15:55:41
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha
J
Janet Mwikali2015-05-06 07:28:43
Dumu katika Bwana.