Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntilie kununua maandazi akanifungia vizuri, kufika nyumbani hamu yote ya maandazi iliniishia pale nilipogundua karatasi iliyofungiwa maandazi ni barua yangu ya kuombea kaziππ

π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
240 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Kwa wale ambao tuna nywele asilia (natural hair), tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele aβ¦
Kuna mtu kanikera et nmemkubalia urafiki Leo tu Facebook anataka kujua kabila languBac akajifanya mjanjaa et akaniuliza mbu kwenu mnawaitajeMimi nkamjβ¦
Duh! MaishaIle time unawaza baba angekua MO DWEJI baba ako na ye anawaza mwanangu angekua MBWANA SAMMATANi shetani tu anajaribu kucheza na akili zenuπβ¦
Kuna miezi 12 katika mwakaβ¦siku 30 katika mweziβ¦siku 7katika wiki, masaa 24 katika sikuβ¦dakika 60 katika saaβ¦β¦lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu.
Ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na likutumiwa vibaya halina maana wala thamani.Neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitaβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate