Dogo: mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.
Dogo: mama hivi malaika si wanapaa? Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa? Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiangaika kupata aina ya nguo za kuvaa tena hasa wanawake wanene, kutokana na maumbo yao wanaona ni kazi sana kutafuta β¦
Wazazi wengine wanaandika MBWAβMKALI kwenye geti lao kama binti wao ana miaka 18..Binti akifika miaka 30 na hajaolewa wanapabadilisha na kuandika TUNAβ¦
Vitunguu twaumu viungo vinavyopendwa na watu wengi hasa kwa harufu yake nzuri Kwenye chakula na uwezo wake wa kuondoa harufu mbaya Kwenye chakula (shoβ¦
Mama mkwe alimuuliza mkwewe "binti" samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa?Binti akajibu, "bila samahani mama huku chini nina njia ya uzazβ¦
Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako. Tenga na wapatie tiba au kuwaua na kuteketeza kabisa kuku wβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate