Ka ni wewe?
DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao.
BABA: Kwanini unasema hivyo?
DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni kama wanatuchanganya.
ungekua wewe ungemjibu nini
Ka ni wewe? DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao. BABA: Kwanini unasema hivyo? DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni kama wanatuchanganya. ungekua wewe ungemjibu nini
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbalnami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayewezakukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpeβ¦
Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigiβ¦
1. Huwezi kuosha Macho kwa Sabuni;2. Huwezi kuhesabu Nywele zako;3. Huwezi kupumua kwa Pua na huku umetoa Ulimi;4. Unajaribu kufanya namba 36. Umeona β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate