MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki
MUME: Ntakununulia gari
MKE: Sitakiβ¦.mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho
MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli
BABA: Pumbafu lala huko mjinga mkubwa
MUME: Mke wangu naomba nikubusu MKE: Sitaki MUME: Ntakununulia pete ya gold MKE: Staki MUME: Ntakununulia gari MKE: Sitakiβ¦.mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli BABA: Pumbafu lala huko mjinga mkubwa
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
_Sheria inasema kila anaetembea na chombo cha moto barabarani sharti awe na leseni.__Sasa hawa wauza kahawa mbona wanatembea na chombo cha moto lakiniβ¦
Mdada alienda super-market kununuakuku, bahati mbaya kwenye frijkulikuwa na kuku mmoja tu, muuzajiakamtoa akamuweka kwenyemzani, akaonekana ana kilo mβ¦
Katika Amri ya nne ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa tuwaheshimu wazazi wetu na wakubwa wetu wote, tuwapende, tuwatii na tuwaombee. (Kut 20:12, Kolβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate