Bangi si mchezo!
Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo!
Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti!
then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".
Bangi si mchezo! Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo! Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti! then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
237 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Unaweza kujiuliza, hivi inawezekanaje kuwa na umbo dogo la aina hii? Ukweli ni kwamba inawezekana, lakini inahitaji kazi ya ziada kufikia kwenye lengoβ¦
Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kujyatibu,napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu,mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zaβ¦
JE, una KITAMBI na unataka kukiondoa?FANYA HAYA;1. Kopa mkopo mkubwa benki2. Nunua gari bovu la biashara3.Oana na mke mwenye kelele.Ukiona miezi mitatβ¦
Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwambamwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linawezakusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuβ¦
Ugonjwa wa dengue ni tishio la ugonjwa hatari linaongezeka siku hadi siku. Dengue ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoenezwa na mbu aitwae aedeβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate