Jamaa alikuwa anagombana na mkewe,hatimae
akamwambia kwa ukali
"Unajua nimechoka sasa, haya kusanya nguo
zako naβ¦β¦..
Kabla hajamalizia sentensi simu
ya mkewe ikaita, kumbe alikuwa ni baba yake.
Basi mzee akaanza kuongea na binti yake huku
jamaa anasikia
"Aisee mwanangu nimebahatika kuuza ile
nyumba yangu sasa nimeona niwatumie milioni
20 mjaribu kuanzisha mradi na mwenzio.
Haya mwambie yeye nitampigia kesho kama
ana mradi mwingine nimpe hela kidogo".Baada
ya simu kukatwa mke akamgeukia jamaa
akamuuliza,"eeenhee!!! ulikuwa unasema
umenichoka nikusanye nguo zangu halafu
iweje? Jamaa kwa upole akajibu "Nilikuwa
nasema ukusanye nguo zako na unipe nifue".
Jamaa alikuwa anagombana na mkewe,hatimae akamwambia kwa ukali "Unajua nimechoka sasa, haya kusanya nguo zako naβ¦β¦.. Kabla hajamalizia sentensi simu ya mkewe ikaita, kumbe alikuwa ni baba yake. Basi mzee akaanza kuongea na binti yake huku jamaa anasikia "Aisee mwanangu nimebahatika kuuza ile nyumba yangu sasa nimeona niwatumie milioni 20 mjaribu kuanzisha mradi na mwenzio. Haya mwambie yeye nitampigia kesho kama ana mradi mwingine nimpe hela kidogo".Baada ya simu kukatwa mke akamgeukia jamaa akamuuliza,"eeenhee!!! ulikuwa unasema umenichoka nikusanye nguo zangu halafu iweje? Jamaa kwa upole akajibu "Nilikuwa nasema ukusanye nguo zako na unipe nifue".
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Ufunuo 12:1717Kisha lile joka likapatwa na hasira kali kwa ajili ya huyo mwanamke, likaondoka ili kupigana vita na watoto waliosalia wa huyo mwanamke,β¦
Pale unapo gundua kuwa yule ulie mtukana kwenye bajaji ndio boss anaeenda kukufanyia interviewπ₯π₯π₯πMy freand apo ndo utagundua kwaanini wimbo wa Taifa β¦
β’ Kula chakula bora kunamaanisha kula vyakula aina tofauti ya vyakula kila siku kama vile matunda, mboga, maziwa na aina ya vyakula vyenye asili ya nyβ¦
Mtoto ni wa baba au wa mama? Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili hakimu aamue nani akae na mtoto. MME: Akasimama akauliza hivi: Mheshimiwβ¦
Chunusi ni nini? Chunusi ni ugonjwa wa ngozi unaosababisha vipele vidogo vidogo vya mafuta kwenye ngozi na wakati mwingine hufanya ngozi kuwa na maumiβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate