Katekista ni mlei aliyechaguliwa na Kanisa ili kumfanya Kristo ajulikane, apendwe, na kufuatwa na wale ambao hawajamfahamu na pia waamini
Waraka wa Baba Mtakatifu Unatafsiri vipi Makatekista?
Waraka unasema;
1. Makatekista ni Wafanyakazi maalimu
2. Mashahidi wa moja kwa moja, Wainjilishaji wasio na mbadala
Mkusanyo Sheria Kanuni za Kanisa unaelezaje kuhusu Makatekista?
Unaeleza kuwa - Makatekista ni Walei Wakristo ambao wamepewa malezi halisi na wanajitokeza vizuri katika maisha ya Ukristo wao.
Chini ya Uongozi wa Kanisa Katekista anafanya Kazi gani?
1. Yeye ni Kiungo cha Mapadre na waamini wa eneo lake
2. Kufikisha mafundisho ya Injili na kuhusika kwenye kazi za Ibada za kiliturujia na kazi za Huruma
3. Kuhubiri na kuwafundisha wakatekumeni
4. Kuelimisha vijana na watu wazima kkatika maswala ya Imani
5. Kuongoza Sala za Jumuiya hasa kwenye Ibada za Jumapili Ikiwa Padre hayupo
6. Kuwatembelea wagonjwa na kuwasaidia na kuongoza Ibada za Mazishi
7. Kufundisha dini mashuleni na kuwaandaa watoto katika kupokea Sakramenti mbalimbali
8. Kutembelea Jumuiya ndogondogo kuziendeleza na kuziimarisha
Katekista ni nani? Katekista ni mlei aliyechaguliwa na Kanisa ili kumfanya Kristo ajulikane, apendwe, na kufuatwa na wale ambao hawajamfahamu na pia waamini Waraka wa Baba Mtakatifu Unatafsiri vipi Makatekista? Waraka unasema; 1. Makatekista ni Wafanyakazi maalimu 2. Mashahidi wa moja kwa moja, Wainjilishaji wasio na mbadala Mkusanyo Sheria Kanuni za Kanisa unaelezaje kuhusu Makatekista? Unaeleza kuwa - Makatekista ni Walei Wakristo ambao wamepewa malezi halisi na wanajitokeza vizuri katika maisha ya Ukristo wao. Chini ya Uongozi wa Kanisa Katekista anafanya Kazi gani? 1. Yeye ni Kiungo cha Mapadre na waamini wa eneo lake 2. Kufikisha mafundisho ya Injili na kuhusika kwenye kazi za Ibada za kiliturujia na kazi za Huruma 3. Kuhubiri na kuwafundisha wakatekumeni 4. Kuelimisha vijana na watu wazima kkatika maswala ya Imani 5. Kuongoza Sala za Jumuiya hasa kwenye Ibada za Jumapili Ikiwa Padre hayupo 6. Kuwatembelea wagonjwa na kuwasaidia na kuongoza Ibada za Mazishi 7. Kufundisha dini mashuleni na kuwaandaa watoto katika kupokea Sakramenti mbalimbali 8. Kutembelea Jumuiya ndogondogo kuziendeleza na kuziimarisha
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
52 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Dogo kampigia simu baba yake;DOGO: Baba katika zile shilingi laki mbili ulizonipanikalipe ada nimetumia shilingi alfu 30 kubetiBABA : Unasema nini we β¦
Utangulizi Embu tafakari kwa nini unasali na Kumuabudu Mungu! Je unasali kwa hofu ya kutokua na uhakika na maisha? Je unasali kwa sababu ya shida na mβ¦
Kama Nyani na ngedere wangekuwa na pesaβ¦Trust me Kuna wanawake wangekuwa wanaishi misituni mda huuβ¦..Wanavyopenda helaππππππππ
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate