Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake, akaondoka kwenda kazini aliporudi akakuta house boy amekufa, usiniulize alikufaje. Mie mambo ya umbea sipendi niliondoka zangu mapemaaa!!π π π π
ππππππ
Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake, akaondoka kwenda kazini aliporudi akakuta house boy amekufa, usiniulize alikufaje. Mie mambo ya umbea sipendi niliondoka zangu mapemaaa!!π π π π ππππππ
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
nakupenda sana mpenzi wangu ,we ndo wa pekee mwenye kujuafuraha ya moyo wangu nikiwa na majonzi huwa upo karibunami,nikiwa na furaha huja kushea nami,β¦
Inashangaza kwa sasa watu wengi hawapendi kuambiwa kuhusu kutubu dhambi zao bali wanataka waambiwe watabarikiwa. Kama vile wewe huwezi kumvika mwanao β¦
DOGMA ZA KANISA KATOLIKI KUHUSU BIKIRA MARIA.Kuna mafundisho makuu mannekumhusu Bikira Maria ambayo ni lazimakila Mkatoliki ayasadiki kutokana naufunuβ¦
Utakubaliana na mimi kwamba, kitendo cha mtu kubanwa na haja ndogo siyo kitu cha hiyari kwamba sasa mtu anaamua ngoja nibanwe na mkojo, hili ni jambo β¦
Eti kuna mkaka alitembelewa na mama yake mzazi. Wakiwa sebuleni yeye, mama na mke wake, mke wake akaanza kuonekana tofauti kama vile anajiskia vibaya.β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate