Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" anakuuliza "pckt mny" ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha "pocket money" af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000.
Hapo ndo unatamani kuchoma shule ufe.
Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" anakuuliza "pckt mny" ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha "pocket money" af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000.Hapo ndo unatamani kuchoma shule ufe.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Dogo kampigia simu baba yake;DOGO: Baba katika zile shilingi laki mbili ulizonipanikalipe ada nimetumia shilingi alfu 30 kubetiBABA : Unasema nini we β¦
pendo ni silaha kali zaidi duniani hu uwa wasio na hatiana hujeruhi bila kutarajia,wengine hujitolea muhanga nayo,silaha hiyo itumikapo vizuri huleta β¦
Jinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waharibifuWigo wa mimea ni kinga nzuri ya mazao shambani. Mimea ya wigo inawβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate