GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje?
BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe kionjo kidogo tu
GIRL: Enheeβ¦
BOY: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga zizi zima la ng'ombe napeleka kwa babu yako
GIRL: Ooh baby u care..
BOY: Siyo hivyo tu, baba yako ntamnunulia Range Rover Sport na mama mkwe ntampa Range Rover Evoque
GIRL: Baby u are awesomeβ¦
BOY: Halagu mdogo wako wa kiume ntampa Prado Tx, na hapo nimesukutua tu mdomo sijaanza kulaβ¦.
GIRL: Enheeβ¦na sisi??
BOY: Sisi tutachukua mtaa mzima Oysterbay, kila wiki tutaishi nyumba tofauti
Halafu siku ya harusi yetu tutakodi zile meli zinabeba makontena ndiyo iwe ukumbi wetu, itatupeleka hadi Maldives
GIRL: Baby I love you
BOY: Tukitoka hapo tunaenda honeymoon Bahamasβ¦.halafu tunaenda Taiwan shopping ya fenicha, kisha Japan shopping ua electronics, halafu tunaenda Dubai nikununulie vito vya thamani
GIRL: Ooh my sweetheartβ¦halafu tukitoka huko??
BOY: Tukitoka huko nachukua ndoo ya maji nakumwagia uzinduke usingizini na ndoto yako imeishia hapo
GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje? BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe kionjo kidogo tu GIRL: Enheeβ¦ BOY: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga zizi zima la ng'ombe napeleka kwa babu yako GIRL: Ooh baby u care.. BOY: Siyo hivyo tu, baba yako ntamnunulia Range Rover Sport na mama mkwe ntampa Range Rover Evoque GIRL: Baby u are awesomeβ¦ BOY: Halagu mdogo wako wa kiume ntampa Prado Tx, na hapo nimesukutua tu mdomo sijaanza kulaβ¦. GIRL: Enheeβ¦na sisi?? BOY: Sisi tutachukua mtaa mzima Oysterbay, kila wiki tutaishi nyumba tofauti Halafu siku ya harusi yetu tutakodi zile meli zinabeba makontena ndiyo iwe ukumbi wetu, itatupeleka hadi Maldives GIRL: Baby I love you BOY: Tukitoka hapo tunaenda honeymoon Bahamasβ¦.halafu tunaenda Taiwan shopping ya fenicha, kisha Japan shopping ua electronics, halafu tunaenda Dubai nikununulie vito vya thamani GIRL: Ooh my sweetheartβ¦halafu tukitoka huko?? BOY: Tukitoka huko nachukua ndoo ya maji nakumwagia uzinduke usingizini na ndoto yako imeishia hapo
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
238 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Juisi hii ni nzuri sana katika kutibu shinikizo la juu la damu.Lakini inaweza pia kutumika kutibu shinikizo la chini la damu hasa ikiwa hili shinikizoβ¦
Harafu ya jasho inakera, kibaya zaidi ni kuwa wewe mwenyewe husikii harufu hiyo ila wale walio karibu yako. Kwa upande mwingine kujaribu kuzuia kutokaβ¦
"Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napendakuwa kitu kwa mtu.na mtu mwenyewe ni wewe"nakupenda laazizi"Kama mimi nilikuwa na maua kila waβ¦
Padri alikuwa amekaa katika confession booth kanisanipeke yake.Mara kukaingia jamaa mmoja akapiga magoti upande wapili, akafanya ishara ya msalaba kisβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate