Dogo: mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.
Dogo: mama hivi malaika si wanapaa? Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa? Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbehuu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvunohayapo kwake,nkaulzwa je unampenda kwa dhβ¦
mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakiniyanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala sinjaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumβ¦
WIFE: Baibie, yule ni nani? Ni Chris Brown??HUSBAND: Yule ni Theo WalcottWIFE: ile Yellow Card ni ya nini? HUSBAND: ile ni ya Onyo, na Red Card inamaaβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate