Jamaa aliamua kumtoa demu wake out kwaajili ya chakula cha usiku kufika hotelini wakakaa mezani mhudumu akaja,
Mhudumu: kaka nikuhudumie nini,
Jamaa: afathal NILETEE MENU LISTI
Mhudumu: dada na wewe?
Demu akajibu kwa pozi tena kwakujishaua, "NA MIMI NILETEE MENU LIST ILA USIWEKE CHUMVI NYINGI"
Chezea mbulula weweβ¦!!!
Jamaa aliamua kumtoa demu wake out kwaajili ya chakula cha usiku kufika hotelini wakakaa mezani mhudumu akaja, Mhudumu: kaka nikuhudumie nini, Jamaa: afathal NILETEE MENU LISTI Mhudumu: dada na wewe? Demu akajibu kwa pozi tena kwakujishaua, "NA MIMI NILETEE MENU LIST ILA USIWEKE CHUMVI NYINGI" Chezea mbulula weweβ¦!!!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
237 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Kupika tambi ni kama ifuatavyoVIAMBA UPISHITambi pakti mojaSukari ΒΎ kikombe cha chaiMafuta Β½ kikombe cha chaiIliki kiasiMaji 3 Vikombe vya chaiVanillaβ¦
1. Hauko Tayari kuthubutu na kujiunga2. Kutokujiamini3. Kutopata sehemu sahihi ya kupata ushauri4. Kutokuwa na sababu za msingi au malengo ya msingi yβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate