SALA KWA MTAKATIFU MIKAELI MALAIKA MKUU

✍️ DIN - Melkisedeck Leon ShineπŸ“… 2015-01-01 13:43:00πŸ’¬ 88 comments⏱️ ~1 min read
πŸ“„ PDF

Mtakatifu Mikaeli Malaika Mkuu, utulinde katika vita, uwe kinga yetu katika maovu na maoteo ya shetani, Mungu amtiishe, tunaomba sana, nawe Mkuu wa Majeshi ya Mbinguni kwa nguvu ya Mungu uwaangushe motoni shetani na pepo wabaya wengine wote, wanaozunguka duniani, ili kuzipoteza roho za watu.Β Amina.

πŸ’¬

Discussion

Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.

88 comment(s)
πŸ” Login required to comment or reply

You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.

Log in to participate
B
Bernard Oduor2021-09-22 09:03:21
πŸ™β€οΈ Mungu ni mkombozi
L
Linda Karimi2021-08-28 05:01:08
Tumaini ni nanga ya roho
J
Joseph Kiwanga2021-08-19 18:53:09
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
M
Monica Nyalandu2021-06-26 21:54:48
πŸ™β€οΈ Mungu akubariki
G
George Wanjala2021-06-25 07:04:25
πŸ™πŸ’– Nakushukuru Mungu
A
Anna Sumari2021-06-15 16:49:18
πŸ™πŸ’– Asante kwa neema zako Mungu
A
Alice Jebet2021-03-16 02:15:48
πŸ™β€οΈβœ¨ Mungu akujalie furaha
M
Mary Kendi2021-03-11 13:45:19
Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine
M
Martin Otieno2021-02-20 05:26:41
πŸ™βœ¨β€οΈ Neema za Mungu zikufunike
D
David Ochieng2021-02-11 05:52:53
πŸ™πŸ’–βœ¨ Neema yako ni ya kutosha
B
Betty Kimaro2021-01-12 07:42:25
Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi
L
Lucy Kimotho2020-11-13 15:22:41
Tembea kwa imani, si kwa kuona
E
Elizabeth Mrope2020-07-31 12:37:33
πŸ™πŸ™πŸ™
F
Francis Mtangi2020-07-10 08:06:07
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
G
Grace Wairimu2020-06-23 22:25:55
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
G
George Ndungu2020-06-02 15:45:04
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
V
Victor Kimario2020-03-02 17:06:00
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
T
Thomas Mtaki2020-03-01 23:52:50
πŸ™πŸ’– Mungu wetu asifiwe
A
Andrew Odhiambo2019-12-30 14:18:45
Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake
S
Simon Kiprono2019-12-24 11:51:36
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe