JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo.
Mke akamwambia mumewe; "Tupige magoti tusali",
Wakapiga magotiβ¦:
MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake.
MUME: Emenβ¦
MKE: Mpe nguvu katika yote atakayoyafanya huko.
MUME: Emenβ¦
MKE: Akitaka kufanya uasherati ashindwe.
MUME: Kimyaβ¦
MKE: Akifanya uasherati apatwe na janga baya kwa uwezo wako bwana.
MUME: β¦β¦.!!
MKE: Yaani akifanya uasherati afie hukohuko kwa mateso makali.
MUME: Maombi gani sasa hayo!!?. Haya basi siendi semina ufurahi wewe.
Chezea mawaifu walokole wewe!
JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo. Mke akamwambia mumewe; "Tupige magoti tusali", Wakapiga magotiβ¦: MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake. MUME: Emenβ¦ MKE: Mpe nguvu katika yote atakayoyafanya huko. MUME: Emenβ¦ MKE: Akitaka kufanya uasherati ashindwe. MUME: Kimyaβ¦ MKE: Akifanya uasherati apatwe na janga baya kwa uwezo wako bwana. MUME: β¦β¦.!! MKE: Yaani akifanya uasherati afie hukohuko kwa mateso makali. MUME: Maombi gani sasa hayo!!?. Haya basi siendi semina ufurahi wewe. Chezea mawaifu walokole wewe!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Vipimo Vya Mchuzi Wa NyamaNyama ya ngβombe vipande vidogo - 2lbNyanya - 1Kitunguu Kilichoktwa katwa - 1Mafuta - 2 vijiko vya supuPaprika (bizari ya maβ¦
Kuna jamaa alifutwa kaziβ¦Ikawa kila siku anaenda nyumbani kwa boss wake na kunya mlango wa mbeleβ¦ Ikawa hvβ¦boss: _mbona waja kunya kwangu?_jamaa: _natβ¦
Nimekutana na hiki kitabu japo nimekipitia juu juu nikaona nisiwe mchoyo Wa kukushirikisha wewe utakayependezwa na kusoma hapa Chini japo ni changamotβ¦
Wakati wa ujauzito ni kipindi cha kubadili mambo mengi katika mfumo wa maisha wa mjamzito. Mjamzito anapaswa kubadili mambo mbalimbali ili kuhakikishaβ¦
Tukiwa kanisani mdada alikuwa amelala , akaamka akasikia Pastor anasema" SIMAMA"Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao aβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate