Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:
SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwakoβ¦
Boss akabaki anashangaa⦠Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.
Akarudi mpaka kwa secretary na mazungumzo yakaendelea:
BOSS: Bibie ulivyoona geti wazi je uliona benz langu lime paki au�
SECRETARY: Hapana Boss niliona kitoroli kidogo kimepaki kina matairi mawili
Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi: SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako⦠Boss akabaki anashangaa⦠Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake. Akarudi mpaka kwa secretary na mazungumzo yakaendelea: BOSS: Bibie ulivyoona geti wazi je uliona benz langu lime paki au� SECRETARY: Hapana Boss niliona kitoroli kidogo kimepaki kina matairi mawili
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanao taga yani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia kuku hao 11 baada ya miezi mitatu unaweza ukawa na kuku mia Tβ¦
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi nizawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,nawezakusema asilimia kubwa jina lako limezunβ¦
Leo nimeenda mahakamani, mara judge akasema..Order! Orderβ¦Mimi na kiherehere changu nikasema.. Chapati .. Maziwa na ovacado tatu β¦Nimewekwa kwa karoomβ¦
MAHITAJIUnga - 3 Vikombe vya chaiBaking powder - 1 Β½ Vijiko vya chaiSukari - 1 Kikombe cha chaiSiagi - 1 Kikombe cha chaiMayai - 2Maji - kiasi ya kuchβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate