Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" anakuuliza "pckt mny" ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha "pocket money" af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000.
Hapo ndo unatamani kuchoma shule ufe.
Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" anakuuliza "pckt mny" ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha "pocket money" af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni ya nini? Anakwambia ni kifupi cha 100,000.Hapo ndo unatamani kuchoma shule ufe.
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Katika amri ya pili ya Mungu tumekatazwa nini? Katika amri ya pili ya Mungu tunakatazwa kuapa bure kwa Jina la Mungu Kiapo cha uongo ni nini? Ni kuahiβ¦
Katika Amri ya nne ya Mungu tumeamriwa nini? Tumeamriwa tuwaheshimu wazazi wetu na wakubwa wetu wote, tuwapende, tuwatii na tuwaombee. (Kut 20:12, Kolβ¦
Hizi hapa njia za kuamsha na kudumisha uhusiano mzuri kati yako na mpenzi wako hasa baada ya kuwa mmeshazoeana sana na kuhisi kuchokana. Dumisha faragβ¦
Vipimo Vya UgaliUnga wa mahindi - 4 vikombeMaji - 6 kiasiNamna Ya Kutayarisha Na KupikaTia maji kiasi katika sufuria wacha yachemke hasaTia unga kidogβ¦
Amri za Kanisa ni zipi? Amri za kanisa ni;1. Hudhuria Misa Takatifu Dominika na sikukuu zilizoamriwa.2. Funga siku ya Jumatano ya Majivu; usile nyama β¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate