John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya
Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na
nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka?
akajibu ndio nyumba yangu ilee, mara wakatoka
watoto wawili wamevaa uniform akasema watoto
wangu walee wanakwenda shule..
Akatoka mwanamke akasema na mke wangu yulee,
Ghafla akatoka mwanaume john akasema mimi
yuleeeeeeeeβ¦. naenda kazini!! JE, NI KWELI
AMEPONA??
John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka? akajibu ndio nyumba yangu ilee, mara wakatoka watoto wawili wamevaa uniform akasema watoto wangu walee wanakwenda shule.. Akatoka mwanamke akasema na mke wangu yulee, Ghafla akatoka mwanaume john akasema mimi yuleeeeeeeeβ¦. naenda kazini!! JE, NI KWELI AMEPONA??
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
MahitajiKidali cha kuku 1 (chicken breast)Kitunguu maji 1/2 (onion)Kitunguu swaum/tangawizi (garlic and ginger paste) 1 kijiko cha chaiLimao ( lemon)1β¦
DOGMA ZA KANISA KATOLIKI KUHUSU BIKIRA MARIA.Kuna mafundisho makuu mannekumhusu Bikira Maria ambayo ni lazimakila Mkatoliki ayasadiki kutokana naufunuβ¦
Katika miongo kadhaa iliyopita, uvaaji wa wigi umekuwa fasheni katika sekta ya urembo na hutumika hususani na wanawake. Ingawa uvaaji wa wigi huwafanyβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate