Dhamiri adilifu, iliyo ndani kabisa mwa mtu, ni uamuzi wa akili ambao kwa wakati wake unamuagiza mtu atende mema na kukwepa maovu
Katika hukumu zake dhamira ifuate nini?
Katika hukumu zake dhamira ifuate daima Injili, Amri za Mungu na za Kanisa na wajibu zetu.
Twajenga na kutunza dhamira zetu namna gani?
Twajenga na kutunza dhamira zetu kwa;-
1. Kufuata sauti ya Roho Mtakatifu
2. Kuzingatia mafundisho ya dini
3. Kuzingatia mila na desturi njema tulizopata katika malezi.
4 Kufuata mifano na tabia njema ya wenzetu na ya Watakatifu
Hadhi ya nafsi ya mtu inadai nini kuhusu dhamiri adilifu?
Hadhi ya nafsi ya mtu inadai unyofu wa dhamiri adilifu, yaani upande wa akili na sheria ya Mungu
Dhamiri adilifu inaundwa namna gani iwe nyofu na ya kweli?
Dhamiri nyofu inayosema kweli inaundwa kwa;
1. Malezi
2. Upokeaji wa neno la Mungu
3. Upokeaji wa Mafundisho ya Kanisa
4. Sala
5. Utafiti wa dhamiri
Dhamiri adilifu inatengenezwa na kusaidiwa na nini?
Dhamiri adilifu inatengenezwa na vipaji vya Roho Mtakatifu na kusaidiwa na mashauri ya watu wenye busara.
1. Hairuhusiwi kutenda maovu kusudi yapatikane mema
2. Yoyote muyatakayo mtendewe na watu, ninyi watendeeni vivyo hivyo. (Mt 7:12)
3. Upendo hufuata daima nia na heshima kwa jirani na kwa dhamira yake
Dhamiri adilifu ni nini? Dhamiri adilifu, iliyo ndani kabisa mwa mtu, ni uamuzi wa akili ambao kwa wakati wake unamuagiza mtu atende mema na kukwepa maovu Katika hukumu zake dhamira ifuate nini? Katika hukumu zake dhamira ifuate daima Injili, Amri za Mungu na za Kanisa na wajibu zetu. Twajenga na kutunza dhamira zetu namna gani? Twajenga na kutunza dhamira zetu kwa;- 1. Kufuata sauti ya Roho Mtakatifu 2. Kuzingatia mafundisho ya dini 3. Kuzingatia mila na desturi njema tulizopata katika malezi. 4 Kufuata mifano na tabia njema ya wenzetu na ya Watakatifu Hadhi ya nafsi ya mtu inadai nini kuhusu dhamiri adilifu? Hadhi ya nafsi ya mtu inadai unyofu wa dhamiri adilifu, yaani upande wa akili na sheria ya Mungu Dhamiri adilifu inaundwa namna gani iwe nyofu na ya kweli? Dhamiri nyofu inayosema kweli inaundwa kwa; 1. Malezi 2. Upokeaji wa neno la Mungu 3. Upokeaji wa Mafundisho ya Kanisa 4. Sala 5. Utafiti wa dhamiri Dhamiri adilifu inatengenezwa na kusaidiwa na nini? Dhamiri adilifu inatengenezwa na vipaji vya Roho Mtakatifu na kusaidiwa na mashauri ya watu wenye busara. Dhamiri inatakiwa kufuata daima masharti gani? Dhamira inatakiwa kufuata daima masharti yafuatayo 1. Hairuhusiwi kutenda maovu kusudi yapatikane mema 2. Yoyote muyatakayo mtendewe na watu, ninyi watendeeni vivyo hivyo. (Mt 7:12) 3. Upendo hufuata daima nia na heshima kwa jirani na kwa dhamira yake
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
50 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Ugonjwa wa Shinikizo la chini la damu ambao hujulikana kama hypotension kwa Kiingereza ni hali ambayo shinikizo la damu ya mtu linakuwa chini sana.Dalβ¦
Tatizo la Mtindio wa Ubongo au Kupooza ubongo kitaalamu ni Cerebral plasy (CP), ni hali ya kupooza ya moja kwa moja ya viungo vya mwili inayotokana naβ¦
Kulikuwa na semina ya wanawake kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa.Mwalimu aliwauliza ni wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikβ¦
Wewe ni mzazi mwanao anasoma kidato cha tatu mkoani umemsafirisha leo kwenda shule baada ya masaa matano ukasikia gari alilo panda mwanao limepata ajaβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate