Neno hili kuwa nafsi tatu kwa Mungu mmoja laitwaje?
Laitwa fumbo la Utatu Mtakatifu. (Lk, 3:21-22)
Kanisa linafafanuaje fumbo la umwilisho?
Linatamka kuwa Yesu Kristo ni Mungu kweli na Mtu kweli. (Ebr 4:15)
Nini maana ya neno "Fumbo"?
Fumbo ni ukweli ambao hatuwezi kuelewa kikamilifu, lakini tunasadiki kwa kuwa Mungu hutufumbulia. (Math 11:27)
Katika dini yetu yapo mafumbo hasa mangapi?
Mafumbo matatu
1. Fumbo la Utatu Mtakatifu
2. Fumbo la Mungu Kujifanya mtu
3. Fumbo la Ukombazi wetu
Neno hili kuwa nafsi tatu kwa Mungu mmoja laitwaje? Laitwa fumbo la Utatu Mtakatifu. (Lk, 3:21-22) Kanisa linafafanuaje fumbo la umwilisho? Linatamka kuwa Yesu Kristo ni Mungu kweli na Mtu kweli. (Ebr 4:15) Nini maana ya neno "Fumbo"? Fumbo ni ukweli ambao hatuwezi kuelewa kikamilifu, lakini tunasadiki kwa kuwa Mungu hutufumbulia. (Math 11:27) Katika dini yetu yapo mafumbo hasa mangapi? Mafumbo matatu 1. Fumbo la Utatu Mtakatifu 2. Fumbo la Mungu Kujifanya mtu 3. Fumbo la Ukombazi wetu
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
50 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu. 2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu. 3. Kama ubinadamu kazi mboβ¦
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika1. UGALI NA KUNDEMwitaji : π£Joniiβ¦
Anakuja Mchina anasema anahitaji Pakaπ,ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basiwanakijiji wanahaha kusaka Pakaπ,wanawaleta mchina ananunua wote anasepβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate