Ee Baba yetu Mungu Mkuu, Umenilinda usiku huu, Ninakushukuru kwa moyo, Ee Baba, Mwana na Roho, Nilinde tena siku hii, Niache dhambi nikutii, Naomba saβ¦
Kwa ajili ya Baba Mtakatifu wetu ..(N); Bwana, umpe moyo wako wa uchungaji mwemaKwa ajili ya warithi wa Mitume; Bwana, uwape wawe na uangalifu uliojaaβ¦
Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.SALA YA KUSHUKURUTunakushukuru, ee Mungu, kwa mapaji uliyotujalia leo. Amina.Baba yetu β¦Salamβ¦
Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu Mwenyezi, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, milele na milele, Amina.Ee Utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu, Baba, Mwana naβ¦
Tumia Rozari ya Mateso Saba ya Bikira Maria iliyo na mafungu 7 yaani mateso 7 yenye Salamu Maria saba kwa kila teso.TESO LA KWANZAMzee Simeoni aliaguaβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate