Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"β¦halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu..
Sipendagi kuchezea salio..
πππππ
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"β¦halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu..Sipendagi kuchezea salio..πππππ
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Utangulizi Wakati umetimia na ufalme wa Mungu umekaribia, tubuni na kuiamini Injili, (Mk 1:15), haya ndiyo maneno ya kwanza ya Yesu ambayo kadri ya Mwβ¦
Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana;MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi?MDADA: Nani kakwambia saa yangu β¦
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.β¦
Hii ni kwa wanaume ila mwanamke anaweza kusoma na kujifunza kuwa wanaume wote ni waaminifu.Mwanaume mmoja alienda kukata miti kwa ajili ya mkaa, bahatβ¦
MAHITAJIMayai 5Sukari 450gm (1 lb)Unga wa Ngano 1 kgSiagi 450gm (1 lb)Baking powder Β½ Kijiko cha chaiUnga wa Custard Vijiko 2 vya chakulaKaranga za kuβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate