JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo.
Mke akamwambia mumewe; "Tupige magoti tusali",
Wakapiga magotiβ¦:
MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake.
MUME: Emenβ¦
MKE: Mpe nguvu katika yote atakayoyafanya huko.
MUME: Emenβ¦
MKE: Akitaka kufanya uasherati ashindwe.
MUME: Kimyaβ¦
MKE: Akifanya uasherati apatwe na janga baya kwa uwezo wako bwana.
MUME: β¦β¦.!!
MKE: Yaani akifanya uasherati afie hukohuko kwa mateso makali.
MUME: Maombi gani sasa hayo!!?. Haya basi siendi semina ufurahi wewe.
Chezea mawaifu walokole wewe!
JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo. Mke akamwambia mumewe; "Tupige magoti tusali", Wakapiga magotiβ¦: MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake. MUME: Emenβ¦ MKE: Mpe nguvu katika yote atakayoyafanya huko. MUME: Emenβ¦ MKE: Akitaka kufanya uasherati ashindwe. MUME: Kimyaβ¦ MKE: Akifanya uasherati apatwe na janga baya kwa uwezo wako bwana. MUME: β¦β¦.!! MKE: Yaani akifanya uasherati afie hukohuko kwa mateso makali. MUME: Maombi gani sasa hayo!!?. Haya basi siendi semina ufurahi wewe. Chezea mawaifu walokole wewe!
π¬
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
236 comment(s)
π Login required to comment or reply
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Moja ya sababu za kutokea chunusi katika ngozi yako ni kuwepo kwa takataka au uchafu juu ya ngozi yako na njia rahisi ya kusafisha taka hizo ni kwa kuβ¦
Hizi hapa njia za kuamsha na kudumisha uhusiano mzuri kati yako na mpenzi wako hasa baada ya kuwa mmeshazoeana sana na kuhisi kuchokana. Dumisha faragβ¦
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati.3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanzaβ¦β¦.4. Kaβ¦
1. Usiuchoshe sana udongo Udongo ni kiungo muhimu sana katika uzalishaji wa mazao. Ni mfumo wa uhai kwa mimea. Kwa hiyo, mkulima ni lazima alenge katiβ¦
pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi lamapenzi,ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawilichumbani.penzi lako halichakai daima huzaliwa uβ¦
Discussion
Comments are public to read. Sign in to participate in the discussion.
You can read the discussion, but only logged-in AckySHINE users can post comments or replies.
Log in to participate