ACKYSHINE ARTICLES Β· PUBLIC LIBRARY

πŸ“š SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako

Browse published Articles by category, tag or language. Random discovery is the default and keeps a stable order while you move through pages.

Reset
ACKYSHINE ARTICLE Β· #32126

Ujumbe mzuri wa kumuomba mpenzi wako asikuache

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA…

πŸ“–
ACKYSHINE ARTICLE Β· #94184

Usijute kunipenda, Nakupenda

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako

Uthibitisho wa Upendo na Uhakikisho wa Kudumu kwa Mpenzi Uthibitisho wa Upendo na Uhakikisho wa Kudumu kwa Mpenzi Katika ulimwengu wa mahusiano ya kimapenzi, ma…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #61

Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekeemwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,Usije ukaondoka hakuchinji asilani,Mwambi…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #186

SMS nzuri ya kimahaba kueleza kuhusu penzi

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna mojaniijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii

ACKYSHINE ARTICLE Β· #31463

Ujumbe mzuri wa salamu kwa mpenzi wako

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee sal…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #762

Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako umpendaye sana

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechokasababu unakimbia mara zote akilini mwangu, na labda mimisina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukos…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2317

SMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Karibu AckySHINE#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi

Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi

ACKYSHINE ARTICLE Β· #189

SMS nzuri kuhusu maana ya mapenzi

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakiniyanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala sinjaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwau…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #31608

SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako unampenda

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

Ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na likutumiwa vibaya halina maana wala thamani.Neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila …

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2361

SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Karibu AckySHINE#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi

Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumb…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #31625

Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako kumwambia akufanye wa kipekeee

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi nimaradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi nikiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulish…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #31612

SMS ya kumsihi mpenzi wako asiende kwa mwingine

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wanguhupatwa kidonda ninaokuona na mwingine hasa anapokuwa hanasifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake …

ACKYSHINE ARTICLE Β· #154

Meseji ya kumshauri mtu kuhusu kupenda

SMS za AckySHINE: SMS Nzuri za Mapenzi na Mahaba Kwa Mpenzi Wako#Meseji Bomba Kali Za Mahaba#Meseji Bomba Kali Za Mapenzi#Meseji Bomba Tamu Za Mahaba

Usimpende mtu tuu kwa sababu uko mpwekeAu kwa sababu ana pesa, kwa sababu upendoSio pesa wala siluhisho la matakwa yako.