ACKYSHINE ARTICLES Β· PUBLIC LIBRARY

πŸ“š 1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE

Browse published Articles by category, tag or language. Random discovery is the default and keeps a stable order while you move through pages.

Reset
ACKYSHINE ARTICLE Β· #22287

Angalia sababu ya mke Mtarajiwa kuzimia kabla ya harusi

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

*Jihadharini* na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!Mchapaji aliombwa aweke 1 Yohana 4:1…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #23148

Hawa ndio wanaume wanaoweza kushinda vishawishi

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Wanaume wenye kushinda vishawishi ni;Wanaume ambao mnaweza kula wali hadi mwisho bila kugusa nyama nyie ndio mnaweza kushinda vishawishiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚

ACKYSHINE ARTICLE Β· #23093

Angalia ndoto nyingine zilivyo na Majanga

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Ndoto zingine bwana usiombe zikupateMimi usiku wa kuamkia Leo nikiwa nimelala nimeota naendesha gari Yangu aina ya BMW mpya Mara gafla ikakwama kwenye tope .hiv…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2049

Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #22715

Wanawake hii nayo ni romantic ?πŸ’ž

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Alaf wale Madem wanaowavua maboy wao KOFIA alaf wanakimbia nayo thinking its FUNNY and ROMANTIC.. Hiv nyie mkivuliwa MAWIGI wakakimbia nayo mtajiskiaje?🐸🐸

ACKYSHINE ARTICLE Β· #22775

Mkalimani alivyoharibu ibada ya leo

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Leo nikaamua niingie misa ya asubuhi kwenye kanisa moja la kilokole kulikua na ugeni wa mchungaji kutoka Bulgaria, Mahubiri yameanza saa 1 asubuhi hali ikawa ka…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #8266

BREAKING NEWS: WAZIRI ANASWA KOFI

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Mkazi wa Mbagala Kibondemaji, Waziri Salum (23) amejikuta akinaswa makofi baada ya kupishana kauli na jirani yake.

ACKYSHINE ARTICLE Β· #645

Soma hii, Nani haelewi kati ya hawa?

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Dogo: Bro naomba nitumie hela. Bro: Tumia tu mpaka uchoke. Dogo: Hujanielewa,nitumie hela.

ACKYSHINE ARTICLE Β· #7609

Kichekesho cha mwalimu na wanafunzi

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai.Mwalimu: Kwa nini unasema hivyo?Mtoto: Nina akili…Basi mwalimu akamueleza mkuu wa shule…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #7488

Dingi kauzu kuliko wote duniani ndiyo huyu hapa

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Mtoto: Baba nitumie pesa ya matumizi huku shuleni hali ni mbaya sana la sivyo najinyonga.Baba: Huku nyumbani hali ni mbaya kuliko huko shuleni kwahiyo kama unaj…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #23089

Tatizo la kukuta nywele kwenye chakula

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Hapa ni shidaKUKUTA NYWELE KWENYE CHAKULA SIO TATIZO,TATIZO NI KUWAZA ITAKUWA IMETOKA SEHEMU GANI🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

ACKYSHINE ARTICLE Β· #22531

Huyu mgeni wa huyu jamaa ni shida

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Pale unapokuwa umefulia sana…Mgeni anakutembelea Maskani kwako….Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chupa Mbili …

ACKYSHINE ARTICLE Β· #8307

Faida 3 za uvutaji wa sigara

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Ni hizi1. Mvuta sigara hazeeki2. Mvuta sigara haumwi na mbwa3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwiziUFAFANUZI1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kik…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #2116

Kilichotokea kati ya mkaka na mdada walipokutana hotelini

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana;MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi?MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya ku…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #8651

Misemo ya kina dada

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Misemo ya kina dadawalianza na halohalooo!Wakaja unalo babu weee!Ikafuata utajijuuu!Ikafupishwa utajiJJ!Mara ghafla kantangazeee!Haikukaa sana kansajiriii!Ikato…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #7288

Kwa nini vitu vunavyoanza na "K" ni vitamu sana?

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Zuzu kaniuliza, "Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana." Nikashtuka, "Astaghafilulah we mtoto! Niondolee wehu wako hapa!"

ACKYSHINE ARTICLE Β· #7645

Status za Whatsapp za Wazungu na Wabongo

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

STATUS ZA WAZUNGU kwenye Whatsapp vere vere kliaaaβ€¦πŸ‘‰sickπŸ‘‰at movie πŸ‘‰ in a meeting2πŸ‘‰ kind of happy,, πŸ‘‰busy,,πŸ‘‰availableπŸ‘‰DrivingπŸ‘‰sleepingSTATUS ZA WABONGO SASA MBUT…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #671

Padri Akimbia wakati wa kuungamisha, chanzo ni hiki

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Padri alikuwa amekaa katika confession booth kanisani peke yake. Mara kukaingia jamaa mmoja akapiga magoti upande wa pili, akafanya ishara ya msalaba kisha akaa…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #22846

Cheki nilichomfanyia boss wangu

1000+ Vichekesho vipya: Vichekesho vya AckySHINE#Karibu AckySHINE#Meseji za Vichekesho na Vituko#Meseji za Vichekesho vya Kuvunja Mbavu

Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itach…