
Asiyesikia la mkuu, huvunjka guu
Asiyesikia la mkuu, huvunjka guu: methali hii ina lengo la kuwatahadharisha watoto au vijana wadogo kuheshimu yale wanayoambiwa na wakubwa zao. Sababu kuu ya kuβ¦
Browse published Articles by category, tag or language. Random discovery is the default and keeps a stable order while you move through pages.

Asiyesikia la mkuu, huvunjka guu: methali hii ina lengo la kuwatahadharisha watoto au vijana wadogo kuheshimu yale wanayoambiwa na wakubwa zao. Sababu kuu ya kuβ¦

Akili ni nywele kila mtu ana zake: hutukumbusha kuwa kila binadamu ana mawazo na mtazamo wake wa kufanya au kuamini mambo hivyo uono hakutafanana na mwingine.

Aisifuye mvua, imemnyea: kila jambo ambalo mtu analizungumzia atakuwa aidha na uzoefu nalo au kwa namna moja ama nyingine analifahamu.

Abebwaye hujikaza: huwakumbusha watu wajibu wa kufanya juhudi za kujisaidia wenyewe pale wanapopewa msaada wa awali. Ikiwa utasaidiwa basi abgalau onesha juhudiβ¦

Asiefunzwa na mama, huvunzwa na ulimwengu: maonyo ya wazaz, walezi au watu wazima yana nafasi kubwa katika ustawi wa maisha ya vijana, hivyo ni muhimu kuwasikilβ¦