ACKYSHINE ARTICLES Β· PUBLIC LIBRARY

πŸ“š Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu

Browse published Articles by category, tag or language. Random discovery is the default and keeps a stable order while you move through pages.

Reset
ACKYSHINE ARTICLE Β· #25134

Sababu ya meno kubadilika rangi

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Wapo baadhi ya watu wanashindwa hata kuachia kicheko chenye bashasha hii ni kwa sababu meno yao yamekuwa na rangi, hivyo kuwafanya watu hao kuona aiabu. Pia wat…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #23852

Jinsi ya kujisaidia unapopatwa shambulio la moyo ukiwa pekeyako

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Tafadhali chukua walau dk 2 kusoma hii:1. Chukulia ni muda wa saa 1:25 jion unarudi nyumbani peke yako, baada ya kazi ngumu zusizo za kawaida ofisini.2. Umechok…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #24805

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia papai

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Dawa nyingine madhubuti ya chunusi ni papai. Tunda hili ni moja ya matunda yanayotumika kwa ajili ya urembo hasa kwa wanawake.Chukua papai na uchanganye na asal…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #24861

Njia za kutibu shinikizo la chini la damu au presha ya kushuka

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

πŸ‘‰Kutibu shinikizo la chini la damu kwa kutumia maji chumviKunywa Maji yenye chumvi husaidia kutibu shinikizo la chini la damu sababu sodiamu iliyomo kwenye chum…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #25194

Jinsi ya kutibu tatizo la kukosa choo bila kutumia dawa

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Kukosa choo ni tatizo kubwa katika jamii zetu japo huwa halionekani kama ni tatizo. Hata hivyo kuna vyakula ambavyo vinapatikana kwa urahisi na vinasaidia kutib…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #24931

Utajuaje kama una upungufu wa maji mwilini? Dalili ni hizi

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Upungufu wa maji ni pale mwili unapopoteza kiasi kingi cha maji kwa njia mbalimbali, ikiwemo jasho na mkojo, mwili hupungukiwa maji na hivyo mtu huyo huambiwa a…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #24990

Sababu, dalili na matibabu ya tatizo la kuziba kwa mrija wa mkojo

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Mrija wa mkojo (urethra) ni kiungo muhimu kinachotoa mkojo nje ya mwili kutoka kwenye kibofu. Mrija huu unaposinyaa au kuziba hufanya utokaji wa mkojo kuwa wama…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #24746

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia limau au limao

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Dawa nyingine nzuri kwa ajili ya chunusi usoni na mwilini ni limau. Limau linajitokeza kwenye vyakula vingi tunavyokula kila siku mathalani limau halikosekani p…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #24741

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia baking soda

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Moja ya sababu za kutokea chunusi katika ngozi yako ni kuwepo kwa takataka au uchafu juu ya ngozi yako na njia rahisi ya kusafisha taka hizo ni kwa kutumia baki…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #23780

Ugonjwa wa kichomi

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya.Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi chunguza zaidi.Kichomi husababishwa…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #25022

Faida za kunywa juisi ya ubuyu

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyo…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #24749

Njia bora za kumfanya mtu aache kuvuta sigara

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Ni kazi ngumu kidogo kuacha uvutaji wa sigara. Uvutaji ni tishio kwa maisha yetu. Yawezekana hufahamu kwamba nusu ya watu wanaovuta sigara watakufa, ikiwa ni ma…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #24838

Mambo ya kuzingatia kujikinga na chunusi | Jinsi ya kuzuia

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Mambo mhimu ya kuzingatia1. Fanya mazoezi ya viungo kwa saa moja kila siku2. Kunywa maji mengi kila siku3. Ondoa mfadhaiko (stress)4. Weka homoni sawa kama hazi…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #25220

Dalili, athari, kinga na tiba ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB)

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bacteria na kuenezwa kwa njia ya hewa. Mtu mwenye maambukizi ya kifua kifua kikuu akikohoa, kupiga chafya a…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #25129

Faida za kula tunda la apple (tufaa)

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Tunda asili yake ni sehemu za Mashariki mwa Europe na pia Magharibi mwa Asia, na tunda hili linajulikana kwa miaka ya zamani mno katika miji ya Old China, Babul…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #24995

Tatizo la kutoka majimaji kwenye matiti

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Tatizo hili husimama lenyewe kama ugonjwa ingawa pia inaweza kuwa ni dalili kama mwanamke ni mjamzito, ananyonyesha au ametoa mimba au ameharibikiwa na mimba. K…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #24799

Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia Binzari, maziwa na asali

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Unahitaji vitu vifuatavyo:a)Binzari ya ungab)Maziwa freshc)Asalid)Bakulie)Kijiko cha chaiHatua kwa hatua namna ya kutumia:a)Weka kijiko kidogo kimoja cha binzar…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #24994

Dalili za homa ya dengu (Dengue fever)

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Dengue ni moja kati ya homa kali inayodhoofisha na kuambatana na maumivu makali. Kwa sasa hakuna kinga ya homa ya dengue, njia pekee ya kuepuka ugonjwa huu ni k…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #24839

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Mtindi na asali

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Kutumia mtindi na asali ni moja ya dawa rahisi zaidi za kutibu chunusi.Unahitaji:a)Kijiko kimoja cha asalib)Kijiko kimoja cha mtindiHatua kwa hatua namna ya kut…

ACKYSHINE ARTICLE Β· #24742

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia asali

Baini Siri za Kuwa na Afya Bora na Utimamu#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF

Asali hasa asali mbichi ya asili ni dawa nzuri sana ya kutibu chunusi. Asali ni antibiotiki ya asili ambayo husaidia kupunguza ukubwa wa chunusi na maumivu ya c…