Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari Kuhusu Kusali na Kuomba#Tafakari za Ukuu wa Mungu
Mungu anapenda kutenda jambo baada ya mtu kumuomba/kusali ili mtu aelewe Ukuu wa Mungu na ili Mungu atukuzwe. Kama kila kitu mtu anachotaka kingekua kinafanyikaβ¦
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari za Ukuu wa Mungu#Tafakari za Upendo na Huruma ya Mungu
Kadiri Mtu anavyoanguka dhambini na kutubu kweli makosa yake ndivyo na upendo, Huruma, Rehema na Neema za MUNGU zinavyoongezeka katika maisha yake.
Makala za Tafakari za Melkisedeck Leon ShineNukuu za Dini#Karibu AckySHINE
Mwenendo wenu na uongozwe na Roho, nanyi hamtafuata tena tamaa za kidunia. Maana tamaa za kidunia hupingana na matakwa ya Roho; na matakwa ya Roho hupingana na β¦
Makala za Tafakari za Melkisedeck Leon ShineNukuu za Dini#Karibu AckySHINE
Kumtafuta Mungu ni jukumu la mtu binafsi na nafsi yake. Huwezi kumfuata Mungu kwa kufwata njia ya wengine. Njia yako ya kukuwezesha kumfikia Mungu ni tofauti naβ¦
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari kuhusu Upendo kwa Mungu na Wengine
Katika fadhila zote, upendo ndio unaonyesha uwepo wa fadhila nyingine Upendo ni Amri kubwa kuliko zote Upendo ni Utimilifu wa Sheria Upendo ni Utakatifu
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari za Toba na Msamaha#Tafakari za Upendo na Huruma ya Mungu
Wakati mtu anapoanguka dhambini ndio wakati ambao Yesu anakua karibu na mtu sana hata kuzidi wakati mwingine wowote. Wakati mtu anapoanguka dhambini ndio Yesu aβ¦
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari za Safari ya Kuelekea Utakatifu
Leo nimekuandalia Tafakari kuhusu Mambo yanayowazuia Waumini na watumishi wa Mungu Kuishi Kitakatifu na kufikia Ukamilifu. Mambo haya yanaweza yakaonekana sio dβ¦
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari za Toba na Msamaha
Unaalikwa kutubu na kumrudia Mungu kwa Moyo Wako wote na kwa nia dhabiti. Mungu atakusamehe dhambi zako na kukufanya kuwa mpya. ...Ingekuwa heri leo usikie sautβ¦
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari za Upendo na Huruma ya Mungu
Mipango ya Mungu daima ni myema, Mungu anapanga Mema katika maisha ya mtu kama akifuata mapenzi yake. Tatizo ni kwamba watu wanafuata mapenzi yao wenyewe na kisβ¦
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari Kuhusu Kusali na Kuomba#Tafakari za Safari ya Kuelekea Utakatifu
Rafiki yangu, Omba utafute uso wa Mungu, Aonaye kwa Siri atakujibu kwa wazi. Mungu ni Mwaminifu Sana hasa kwa wamwombao bila kukoma na kwa matumaini. Mungu yeyeβ¦
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari za Wakati Mgumu wa Maisha
Leo tunatafakari kuhusu wakati wa shida. Maisha ya mtu yanabadilika wakati wowote kwa namna yoyote yanaweza yakawa mazuri mpaka ukashangaa au yanaweza yasiwe maβ¦
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari kuhusu Upendo kwa Mungu na Wengine#Tafakari za Safari ya Kuelekea Utakatifu
Kwa namna unayoishi unaweza ukawa daraja au kikwazo cha wengine kuishi maisha ya Amani raha na fanaka. Unaweza ukawa daraja kwa maana kwamba wewe unaweza kuwa sβ¦
Makala za Tafakari za Melkisedeck Leon ShineNukuu za Dini#Karibu AckySHINE
Mungu anamakusudi na kila binadamu anayeishi duniani. Hakuna mtu aliyebora zaidi mbele ya Mungu au asiye wa thamani mbele ya Mungu kama anafwata mpenzi ya Munguβ¦
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari za Myenendo ya Maisha#Tafakari za Safari ya Kuelekea Utakatifu
Ifahamu namna Pekee ya kuwa na amani katika maisha Yako. Jifunze Kitu Hapa na kufuata njia hii. Hakika utakua na Amani.
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari za Myenendo ya Maisha#Tafakari za Safari ya Kuelekea Utakatifu
Embu tafakari kwa nini unasali na Kumuabudu Mungu! Je unasali kwa hofu ya kutokua na uhakika na maisha? Je unasali kwa sababu ya shida na matatizo katika maishaβ¦
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari za Myenendo ya Maisha#Tafakari za Safari ya Kuelekea Utakatifu
Kuwa makini sana na mawazo yako, Yanaweza kukupeleka Mbinguni au motoni. Kumbuka vile unavyowaza ndivyo utakavyovitenda. Amua kuwaza mema kutoka ndani ya moyo wβ¦
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari za Safari ya Kuelekea Utakatifu
Fadhila ya Unyenyekevu ni matunda ya Upendo na Uvumilivu kwa hiyo ili kufikia Unyenyekevu yakupasa kuwa na Upendo wa kweli kwa Mungu na Wanadamu huku ukiwa mvumβ¦
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari za Myenendo ya Maisha#Tafakari za Safari ya Kuelekea Utakatifu
Soma Siri ya Yesu aliye Mwangaza Wa Maisha, Jifunze namna unavyoweza kufaidi Mwangaza huu kushinda Uovu katika maisha Yako.
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari za Ukuu wa Mungu#Tafakari za Upendo na Huruma ya Mungu
Karibu tutafakari Upendo Mkuu wa Mungu Kwa Wanadamu. Soma tuone namna Mungu alivyotupenda sana.
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari za Myenendo ya Maisha#Tafakari za Safari ya Kuelekea Utakatifu
Ili kuwa na Amani ya Moyoni unatakiwa uishi kwa kutimiza wajibu wako wa kiroho na kidunia kama inavyotakiwa na kwa uwezo wako wote, Huku ukiwa na Matumaini ya kβ¦
Makala za Tafakari Kwa WakatolikiMakala za Tafakari za Melkisedeck Leon Shine#Karibu AckySHINE#Tafakari za Ukuu wa Mungu#Tafakari za Upendo na Huruma ya Mungu
Mungu daima anawaza Mema na Anampangia Mtu Mambo mema. Kama mtu ataenda katika njia ambayo Ipo katika mipango na mapenzi ya Mungu basi atapokea yale mema Mungu β¦
Makala za Tafakari za Melkisedeck Leon ShineNukuu za Dini#Karibu AckySHINE
Ni jambo jema kusamehe wale waliotukosea. Neno "Nimekusamehe" ni zuri kusikia masikioni kuliko neno "Ninakupenda". Maana kusamehewa ni zaidi ya kupendwa kwani Mβ¦