Log in to access your menu with tools for managing ๐ tasks, ๐ฅ clients, ๐ฐ finances, ๐ learning, ๐ personal growth, and ๐ spirituality, all in one place!.
Welcome to AckySHINE, your go-to platform for personal growth, productivity, and well-being, offering tools tailored to organize your life, manage finances, and deepen your journey.
Angalia wanachokifanya Zuzu na msichana chumbani kwenye giza
Zuzu: Mambo Anna! Anna: Poa! Zuzu: Kuna kitu nataka nikuonyesheโฆ Anna: Kitu gan? Zuzu: Twende chumbani kwako (wakaenda) Anna: Haya nionyesheโฆ
Updated at: 2024-05-25 18:07:43 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Zuzu: Mambo Anna! Anna: Poa! Zuzu: Kuna kitu nataka nikuonyesheโฆ Anna: Kitu gan? Zuzu: Twende chumbani kwako (wakaenda) Anna: Haya nionyesheโฆ
Zuzu: Funga mlango na madirisha kwanza (akafunga) Anna: Haya nionyeshe sasa!.. Zuzu: Zima taa kwanza (akazima) Anna: Mhmโฆnionyeshe sasa! Zuzu: Haya njoo hapa kitandaniโฆ Anna: Ok, nionyeshe! Zuzu: Ona nimenunua saa ambayo inawaka yenyewe gizaniโฆ Acha mawazo mabaya ww???
Updated at: 2024-05-25 17:17:44 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni kuna dada mrembo kakaa. Kamlia timing kwa muda kisha halafu akamuuliza "Samahani dada unaitwa Google?". Dada: "hapana, kwanini umedhani naitwa hivyo?". Jamaa: "Una kila kitu nnachokitafuta "๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo
Updated at: 2024-05-25 17:02:05 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=. Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/="
Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO. Kwenda na kurudi sh.12,000/=. Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA.
Soma huyu mtoto anachosema sasa, Ndoto za watoto bwana! Kazi ipo!
Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae.
MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani?
JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo.
MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani?
Updated at: 2023-04-29 22:53:28 (3 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae. MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani? JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo. MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani?
ROSE: Nataka kuwa rubani, niweze kusaidia watu wanapenda kusafiri kw anga. MWAL: Safi sana Rose. Utakua utakua mfano kwa wasichana wenzio kuwa na bidii kwenye masomo ya sayansi. MWAL: Na wewe Nehemiah ?? Nehemiah : mimi nataka kuwa tajiri mkubwa sana. Niwe na nyumba Tanzania, S.Africa, Marekani na Dubai. Niwe na gari 7 za kutembelea. Kila siku nabadilisha. Leo nikipanda hii, siirudii hadi week iishe. Nataka niwe namiliki viwanda, Makampuni, ndege binafsi na mashamba makubwa. Nataka niwe na nguvu serikalini ya kuamua nani awe Rais na nani asiweโฆโฆ" Akameza mate kisha akaendeleaโฆ. "Nataka kuwa na walinzi 20 wenye silaha nzito wakinizunguka, na watumishi wakininyenyekea. Nataka kuwa bilionea ninayeogopwa. Lakini pia nataka kuwa na mke mzuuuri sana ambaye nitakuwa natembea nae kila mahali." MWAL: ndoto nzuri sn lakini unahitaji bidii sana kutimiza. Haya na wewe Jenny tueleze unataka kuwa nani?? JENNY: Nataka kuwa mke wa Nehemiah .!!