Sidebar with Floating Button
AckySHINE 🔁
AckyShine

Kweli tamaa ni mbaya, mke wa mtu kaponzwa na tamaa, ndio basi tena

Featured Image
Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake: JAMAA: Shem nakupenda! MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki yako akijua? tena koma! JAMAA: Ntakupa milioni 1! MKE: Basi njoo kesho mchana mume wangu akiwa kazini!
236 💬 ⬇️

Duh! Hii sababu ya huyu mwanaume kulewa ni shida

Featured Image
236 💬 ⬇️

Jee wajua! Maajabu ya whatsapp..

Featured Image
236 💬 ⬇️

Ungekua wewe ni mwalimu ungemshauri nini huyu mwanafunzi?

Featured Image
236 💬 ⬇️

Muda ambao unaweza kumzoea dingi

Featured Image
236 💬 ⬇️

Je, hili nalo ulilipitia ulipokua Shuleni?

Featured Image
238 💬 ⬇️

Mcheki Chizi na daktari

Featured Image
236 💬 ⬇️

Angalia huyu mke wa mtu anavyojichanganya hadi kwa mme wake

Featured Image

MUME: "Mke wangu nasikia John katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!"

MKE: "Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE KISIKI, maana yule mama ndo ANAJIFANYAGA MGUMU sanaaa.!!"

 

237 💬 ⬇️

Angalia nilivyoingizwa mjini na ujanja wangu wote

Featured Image
236 💬 ⬇️

Angalia hawa vichaa walichokifanya, Vichaa bwana, ni noma!

Featured Image
Vichaa walipanga kutoroka, wakakubaliana wamnyonge mlinzi watoroke! Walipofika getini wakakuta geti lipo wazi na hakuna mlinzi, wakasema
236 💬 ⬇️
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About