ACKYSHINE ARTICLE Β· PRINTABLE READER

Amri ya Pili ya Mungu: Tunakatazwa kuapa bure au uongo kwa Jina la Mungu

✍️ DIN - Melkisedeck Leon ShineπŸ“… December 19, 2016πŸ’¬ 50 comments
πŸ—‚οΈ Mafundisho ya Katekisimu#Karibu AckySHINE#Katoliki: Amri za Mungu🌐 Kiswahili
Amri ya Pili ya Mungu: Tunakatazwa kuapa bure au uongo kwa Jina la Mungu

Katika amri ya pili ya Mungu tumekatazwa nini?

Katika amri ya pili ya Mungu tunakatazwa kuapa bure kwa Jina la Mungu


Kiapo cha uongo ni nini?

Ni kuahidi kwa kiapo bila nia ya kutimiza au kuvunja ahadi iliyotelewa.

βœ…
Direct PDF download

The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.