ACKYSHINE ARTICLE Β· PRINTABLE READER

Kila kitu ni mali ya Mungu isipokua hiki

✍️ DIN - Melkisedeck Leon ShineπŸ“… January 17, 2016πŸ’¬ 50 comments
πŸ—‚οΈ Mafundisho ya Msingi ya Kanisa Katoliki: Makala za Katoliki#Karibu AckySHINE#Katoliki: Ushauri kuhusu mambo mbalimbali Katika Maisha🌐 Kiswahili
Kila kitu ni mali ya Mungu isipokua hiki

Kila kitu ni mali ya Mungu.

Kuwa na Mungu ni kuwa na kila kitu.

Hata mimi mwenyewe ni mali ya Mungu.

Kitu kimoja tu nina hakika nacho kwamba ni mali yangu binafsi nacho ni dhambi zanguπŸ˜›.

Ee Mungu naomba niziungame niweze kubaki mali yako bila kuwa na kitu binafsi.

βœ…
Direct PDF download

The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.