ACKYSHINE ARTICLE Β· PRINTABLE READER

Sala ya Kuombea Hali njema ya hewa na mvua

✍️ DIN - Melkisedeck Leon ShineπŸ“… January 17, 2016πŸ’¬ 83 comments
πŸ—‚οΈ Sala za Katoliki: Sala Muhimu Kwa Mkristu Mkatoliki#sala#Sala za Maombi🌐 Kiswahili
Sala ya Kuombea Hali njema ya hewa na mvua

Ee Mungu Mwenyezi wa milele, mpaji wa mema yote, unayetusamehe na kutulinda. Utujalie sisi tunaokusihi, tufurahie hali njema ya hewa na mvua tunayoitamani na kuhitaji. Tutumie daima vipawa vya wema wako kwa ajili ya utukufu wa jina lako, na kwa ajili ya wokovu watu. Tunaomba hayo kwa njia ya Bwana watu Yesu Kristo Mwanao, anayeishi na kutawala nawe katika umoja wa Roho Mtakatifu, Mungu, daima na milele. Amina. `

`Baba Yetu................... Salama Maria............ Atukuzwe Baba........... `

K: `Bikra Maria mama wa msaada wa daima.... W: Utuombee na Utusaidie`

βœ…
Direct PDF download

The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.