ACKYSHINE ARTICLE ยท PRINTABLE READER

Ushauri kwa mwanamke anayetafuta Mwanaume ili upate Mume sahihi

โœ๏ธ SW - Melkisedeck Shine๐Ÿ“… January 14, 2016๐Ÿ’ฌ 0 comments
๐Ÿ—‚๏ธ Baini Siri za Familia, Mapenzi na Mahusiano#Karibu AckySHINE#Mahusiano: Makala kwa Wanawake#Mahusiano: Uchumba na Urafiki#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF๐ŸŒ Kiswahili
Ushauri kwa mwanamke anayetafuta Mwanaume ili upate Mume sahihi

Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.

1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.

2. Ukimpata geniusโ€ฆyuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno

3. Ukimpata tajiriโ€ฆhawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutajiโ€ฆhana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha

5. Ukimpata mnyenyekevuโ€ฆmfukoni huwa 0%.

6. Ukimpata anayekupenda kwa dhatiโ€ฆanakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.

7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.

8. Ukimpata yule smartโ€ฆni muongo to the maximumโ€ฆ na player

So listen to your heartโ€ฆโคโค, na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect.
Kwa nini kulilia watu perfect??

โœ…
Direct PDF download

The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.