Kukosa hela sio tatizo bali ndio kigezo ya kutafuta hela
ποΈ Biashara - Mbinu za Ujasiriamali na Biashara Kufanya tofauti#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF#Ujasiriamali: Mbinu za Kuwa Tajiriπ Kiswahili

Ukimonyesha mtu fursa akakwambiaΒ hana helaΒ mwambie hiyo ndio sababu ya wewe kumonyesha fursa ili awe na hela tukumbukeΒ kuwa hela haitokani na helaΒ hela inatokana na fursa
Nijukumu la mtu asiye na hela kutafuta njia ya kuwa na hela watu wengi tunachelewa kufanikiwa kwa kutojua majukumu yetu ili kupambana naΒ UMASIKINIΒ mwombe MwenyeziΒ MUNGUΒ kwa imani yako akufungue akiliβ¦
To ur Success!
β
Direct PDF download
The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.