Jinsi ya Kujaza nywele kwa njia za Asili
ποΈ Dondoo za Urembo na Mitindo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDFπ Kiswahili

Zingatia mambo haya yafuatayo;
- Chukua parachichi kubwa moja, asali vijiko vitatu na kiini cha yai.
- Osha nywele zako kwa shampoo na uzikaushe.
- Ponda ponda parachichi mpaka lilainike kabisa. Chukua vijiko vitatu vya asali na kiini cha yai kisha changanya yote kwa pamoja.
- Paka mchanganyiko huo kaa nao kwa muda wa dakika 15 kisha osha.
- Fanya hivyo kwa muda wa wiki moja hadi mbili na utaweza kuona matokeo mazuri katika nywele yako
β
Direct PDF download
The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.