ACKYSHINE ARTICLE Β· PRINTABLE READER

Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya mara nyingi hudanganya?

✍️ SW - Melkisedeck ShineπŸ“… April 17, 2022πŸ’¬ 0 comments
πŸ—‚οΈ Ujana na Makuzi | Mapenzi na Ngono Salama🌐 Kiswahili
Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya mara nyingi hudanganya?

Wengi wa waathirika wa dawa za kulevya hukataa matatizo yao. Hudanganya kwa sababu hawataki kukubali matatizo yao pia hutoa maelezo kujitetea au kulaumu wengine. Mara nyingi huanza kudanganya au kusaliti marafiki na ndugu pale wanapohitaji fedha kwa ajili ya kununulia dawa za kulevya.

βœ…
Direct PDF download

The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.