ACKYSHINE ARTICLE Β· PRINTABLE READER

BareFoot Sprayer: Pampu imara ya kunyunyiza dawa - Mabomba ya kupulizia dawa mepesi kubeba na yenye nguvu

✍️ Melkisedeck Leon ShineπŸ“… April 4, 2022πŸ’¬ 0 comments
πŸ—‚οΈ Pembejeo Bora za Kilimo: Bidhaa za Kilimo#Karibu AckySHINE#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF🌐 Kiswahili
BareFoot Sprayer: Pampu imara ya kunyunyiza dawa - Mabomba ya kupulizia dawa mepesi kubeba na yenye nguvu

BareFoot Sprayer ni Pump Imara na yenye Nguvu Maalumu kwa ajili ya kunyunyiza/kupuliza dawa mashambani, kwenye mifugo nakadhalika.

BareFoot Sprayer imetengenezwa kwa Muundo mzuri kwa kurahisisha ubebaji na upigaji wadawa.

BareFoot Sprayer ina dumu imara lisilopasuka kirahisi na linaloweza kudumu kwa muda mrefu.

Bidhaa hii inaletwa Kwako na Kampuni yaΒ BareFoot International Limited. Wauzaji na wasambazaji waΒ bidhaa Bora za Kilimo Tanzania.

Mawasiliano

Simu:

+255 756 914 936

β€”

WhatsApp:

+255 756 914 936

β€”

Email:

info@bfi.co.tz

β€”

NB: Tunapatikana Mikoa Yote Tanzania

βœ…
Direct PDF download

The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.