Jinsi ya kutengeneza juisi ya nyanya
ποΈ Dondoo za Mapishi na LisheποΈ Upishi na Maandalizi ya Milo yenye Afya#Karibu AckySHINEπ Kiswahili

Viamba upishi
Nyanya 1Β kg
Maji Iita Β½
Chumvi kijiko kidogo 1
Sukari
Hatua
β’ Osha nyanya, katakata na chemsha na maji mpaka zilainike.
β’ Chuja juisi.
β’ Pima juisi - vikombe 2 vya juisi kwa kikombe 1 cha sukari, weka
kwenya sufuria safi .
β’ Ongeza chumvi, chemsha ukikoroga mpaka ichemke.
β’ Mara ikichemka epua, pozesha na weak kwenya chombo safi kwa
kunywa.
β
Direct PDF download
The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.