ACKYSHINE ARTICLE Β· PRINTABLE READER

Namna ya kufanya Ukaguzi wa mara kwa mara wa banda la kuku kuzuia magonjwa

✍️ SW - Melkisedeck ShineπŸ“… December 26, 2020πŸ’¬ 0 comments
πŸ—‚οΈ Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato#Karibu AckySHINE#Magonjwa ya Mifugo#Makala Kuhusu Mifugo#SMS, Vichekesho, Mahusiano, Biashara na Ujasiriamali, Afya, Chemsha Bongo, Dini pamoja na Vitabu kwenye PDF#Ufugaji wa Kuku🌐 Kiswahili
Namna ya kufanya Ukaguzi wa mara kwa mara wa banda la kuku kuzuia magonjwa

Ukaguzi wa Kila siku
β€’ Hakikisha unasafisha vyombo vya kulishia na kunyweshea pamoja na viota.
β€’ Ondoa kinyesi kwa kuku.
β€’ Waangalie kuku wako kwa makini ili kujua afya na maendeleo yao. Yaani ili kutambua kama kuna mwenye ugonjwa

Ukaguzi Kwa wiki
β€’ Ondoa matandazo machafu na kuweka mapya ili kuzuia kuzaliana kwa vijidudu vya magonjwa.

Ukaguzi kwaKwa mwezi
β€’ Angalia uwepo wa wadudu na chawa, kisha utibu kama kuna ulazima.

βœ…
Direct PDF download

The download button now generates the PDF on the server. It no longer depends on an off-screen browser canvas, so the former blank-PDF capture path is bypassed.